Uchambuzi wa Matokeo
Chambua ufaulu kwa shule, darasa, somo, jinsia na mtihani; tambua wanafunzi na masomo yanayohitaji uboreshaji.
FAULINK ni mfumo wa kisasa wa kuingiza alama, kuchakata matokeo, kupanga madaraja, kutengeneza result cards, rankings na ripoti za ufaulu. Pia una modules za fedha, mahudhurio, ratiba, maktaba, afya, usafiri, HR na mawasiliano.
Modules zimepangwa kitaalamu ili kila idara ifanye kazi kwa urahisi huku uongozi ukipata taarifa sahihi.
Chambua ufaulu kwa shule, darasa, somo, jinsia na mtihani; tambua wanafunzi na masomo yanayohitaji uboreshaji.
Tengeneza result cards, mark sheets, rankings, subject performance, overall performance na ripoti zinazoweza kuchapishwa.
Tengeneza exam types, exams na class tests, ingiza alama kwa urahisi, hakiki matokeo na tumia grade boundaries.
Sajili shule, matawi na watumiaji wengi. Dhibiti Admin, viongozi, walimu, wahasibu na watumishi kwa roles na permissions.
Dhibiti wanafunzi, madarasa, masomo, walimu wa madarasa, mgao wa masomo na academic overview sehemu moja.
Simamia ada, malipo, risiti, mapato, matumizi, bajeti, michango na ripoti kamili za fedha.
Rekodi attendance ya wanafunzi na wafanyakazi, tengeneza timetable, vipindi, vyumba na lesson plans.
Dhibiti vitabu, kuazima na kurudisha, assignments, teaching materials, versions na downloads.
Simamia magari, routes na ratiba pamoja na student health, medicine records na health reports.
Tuma matangazo, ujumbe, email, SMS, WhatsApp na notifications; fuatilia reminders na delivery logs.
Tengeneza vitambulisho, vyeti vya jumla au masomo na tathmini za behaviour and skills.
Shule isimamie banners, habari, matukio, gallery, videos, kalenda, hotuba na fomu kupitia website.
Dhibiti wasifu, idara, nafasi, nyaraka, likizo, mikopo, performance, tasks na approvals.
Login security, OTP, password history, ruhusa za kurasa, audit logs na database backups.
Jaza taarifa za shule, eneo, mwombaji na mawasiliano kupitia fomu salama.
Timu ya FAULINK itakagua ombi na kuwezesha akaunti pamoja na mpangilio unaofaa.
Admin wa shule anaingia, anaweka taarifa na kuunda watumiaji wenye roles zinazohitajika.
Fungua ukurasa wa usajili, jaza taarifa za shule na tengeneza akaunti. Baada ya usajili utaweza kuingia na kuanza kuweka madarasa, masomo, wanafunzi, mitihani na alama.